Wataalamu wa LISHE Wamegundua Njia Rahisi ya Ku...

Ondoa UCHAFU Mwilini Wa Hadi 4kg Ndani ya Siku 9, au Rudishiwa Hela Zako!

Tazama video hii na usome kila neno katika ukurasa huu, kwa sababu nitakachokueleza, kinaenda kubadilisha maisha yako

Nilikuwa nikisumbuliwa na maumivu ya mara kwa mara, msongo wa mawazo, na nilikosa utulivu. Nilikuwa nimejaribu njia mbalimbali za kuboresha afya yangu, lakini hakuna kilichonipa matokeo ya kuridhisha hadi nilipopata Detox Express.

Detox Express ilikuwa jibu kwa matatizo yangu yote. Program hii imenisaidia kuondoa uchafu na sumu katika mwili wangu na kuboresha mfumo wangu wa kinga. Siku zangu za kuteseka na maumivu zimepungua sana, na nimepata nguvu na utulivu ambao sijawahi kuufurahia hapo awali.

Kwa njia rahisi na salama, Detox Express imenipa fursa ya kufurahia maisha bila vikwazo vya kiafya. Nimeshuhudia jinsi mwili wangu umekuwa na nguvu zaidi na akili yangu ikipata utulivu. Detox Express ni mkombozi wangu, na ninawaalika wengine kujaribu na kushuhudia mabadiliko haya makubwa.

5/5

Deborah Chahali

Mjasiriamali

Ndugu,

Sijui umefikaje hapa, lakini kama unasoma maneno haya, natambua kuwa wewe ni miongoni mwa wanaotamani kuishi maisha marefu, yenye afya tele, nguvu na mwonekano mzuri.

Ikiwa ndiye, nikuhakikishie upo sehemu sahihi. Mahali ambapo utaweza kupata habari njema na za kina, ambazo pengine umekuwa ukizitafuta kwa muda mrefu pasipo mafanikio…

Kwa hivyo, nakusihi ujiamini na uambatane nami kwa muda mfupi, ukiniazima macho na masikio yako yote mawili. Habari hizi zaweza kuwa muhimu sana kwako ns pengine waweza kuwa mwanzo wa mabadiliko katika maisha yako.

Kwa maelfu ya miaka, wataalam wa afya wamebaini uhusiano mkubwa uliopo kati ya ustawi wa afya zetu pamoja na chakula tunachokula. Binafsi, pia nimejifunza kuhusu tasnia hii na nataka kukufunulia moja ya siri ambayo endapo utaamua kujitoa na kuifanyia kazi, inaweza kubadilisha maisha yako katika namna ambayo hukuwahi kufikiri.

Siri ambayo kwa miaka mingi imehifadhiwa katika kanisa maarufu sana nchini Uingereza lijulikanlo kama Westminster Abbey. 

SIRI inayoweza kukufanya uishi zaidi ya miaka 150 ukiwa mwenye nguvu

Westminster Abbey lilianzishwa mwaka 170 A.D. Hii ina maana kwamba kanisa hili maarufu lina miaka 1,843 sasa. Hii inadhihirisha lilisanifiwa na msanifu majengo mwenye akili kubwa. Ni mahala pa kuabudia kila siku na mahala pa kuhifadhia miili ya watu mashuhuri… ikiwa ni pamoja na maaskofu, wanasayansi, wafalme, viongozi wakuu wa kitaifa, mashujaa wa vita na wanamuziki.  

Ndani ya kanisa hilo, kuna moja ya kaburi ulikozikwa mwili wa mtu aliyepata kuishi muda mrefu kuliko wote katika nyakati zetu...

Alifahamika kwa jina la Thomas Parr, aliyezaliwa katika kaunti ya Salopp, nchini Uingereza mnamo mwaka 1,483 A.D. Na aliishi mpaka mwezi Novemba, 1,685 A.D.

Hii ina maana kwamba…

…aliishi miaka 152!

 
Na si tu kwamba Thomas aliishi miaka mingi, bali pia alikuwa mtu mwenye afya njema na maisha yenye furaha. Alioa mkewe wa kwanza akiwa na umri wa miaka 80. Mara baada ya kifo cha huyo mkewe, alioa tena mke wa pili mwaka 1,605 akiwa na umri wa miaka 122 na wakafanikiwa kupata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 130. 
 

Ok, pengine hilo la uwezo wa kupata watoto katika umri mkubwa hivyo siyo habari kwako, lakini lililowashangaza wengi ni uthibitisho aliotoa mkewe wa pili, Jane katika kusherekea miaka 12 ya ndoa yao… Akiwa katika mahojiano, Jane alisema kwamba mumewe hakuwahi kuonyesha dalili zozote za uzee au udhaifu wowote. 

Bila shaka unaweza kudhani mkewe alikuwa akimaanisha nini 😉
 

Mnamo 1635, aliyekuwa mwanahistoria na mwanajeshi mashuhuri wa Kiingereza wakati wa enzi za mfalme James I na mfalme Charles I – Thomas Howard, alimtembelea Parr na kuamua kumpeleka London kukutana na mfalme Charles I, na walipofika kwa Charles alimtambulisha kama ‘kipande cha asili cha kushangaza’. 

Mfalme alishangazwa sana naye na akampenda. Ghafla, Bw. Thom Parr akawa mtu maarufu nchini uingereza. Haikushangaza kuona mamia kwa maelfu ya watu wakimuwinda wakiwa na shauku ya kupata ushauri na maoni ya jinsi wanavyoweza kuishi kuishi muda muda mrefu wakiwa na afya tele kama alivyo yeye. 

Hatahivyo, hakuwa na muda mrefu wa kuufuraia umaarufu wake kwa sababu umauti ulimpata ndani ya kipindi kifupi akiwa katika makazi yake mapya jijini Londoni.

Na hapa ndipo nataka uniazime umakini wako zaidi kutokana na majibu ya kushangaza kutokana na…

Utafiti uliofichua SIRI ya Thom Parr kuishi zaidi ya miaka 152...

Mara baada ya kifo cha Parr, dakatari mwingereza aliyejulikana kwa jina la William Harvey (huyu ndiye mgunduzi wa mfumo wa damu) alipewa kazi na mfalme Charles kufanya utafiti wa nini kilipelekea Thomas Parr kuishi muda mrefu vile lakini pia ni nini kilichopelekea kifo chake. Ripoti ya matokeo ya utafiti wa Dkt. Harvey yalichapishwa kwa lugha ya Kilatini na yamehifadhiwa kanisani mle hadi leo hii kwa ajili ya mtu yoyote anayetaka kuisoma.

Ripoti ilihitimisha kwa kuchora mstari katika sababu kubwa ya Parr kuweza kuishi umri mrefu wa zaidi ya miaka 152 akiwa mwenye nguvu, kwamba…

...viungo vyake vyote vya ndani vilikuwa katika hali nzuri, na hasa utumbo wake (yaani, mmeng’enyo wake wa chakula) ulikuwa msafi na wenye afya kama ilivyo kwa mtu wa chini ya miaka 30 - mwenye afya.

Ni kweli…

Nyingi ya tafiti zinakubaliana na ukweli huo kwamba…

Mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula - ndio nguzo kuu ya afya yako, na unapaswa kuutunza kwa umakini na uangalifu.

Unaweza kuutazama kama kiwanda cha kipekee kilichojaa michakato inayofanya kazi kwa ushirikiano ili kuhakikisha kuwa chakula tunachokula kinameng’enywa vizuri ili kitupatie virutubisho muhimu tunavyohitaji.

Kwa kuanzia, tafakari juu ya umuhimu wa kinywa chako na meno yako. Kinywa ni mlango wa kwanza ambao chakula hupitia, kwa ushirikano na mate, meno yako hukata kata na kusaga chakula ili kiweze kuwa tayari kwa hatua zaidi za mmeng’enyo.

Tumbo letu linafanya kazi muhimu ya kuzalisha asidi ambayo huanza kuvunja protini ili kuiandaa kwa hatua inayofuata. Mchakato huu unaendelea kupitia utumbo mpana, ambapo chakula kinapata muda wa kutosha kuchambuliwa virutubishi vyote muhimu.

Bakteria wanaoishi kwenye utumbo wetu, hufanya kazi ya kuvunja chakula ambacho hatuwezi kumeng’enya wenyewe, kama vile nyuzinyuzi. Pia, hutusaidia kuchukua virutubisho zaidi kutoka katika chakula na kusaidia kuuweka mfumo wetu wa kinga katika hali nzuri.

Pengine umewahi kusikia hili...

"Kifo Uanzia Tumboni"

Alisikika akisema mshindi wa tuzo ya Nobel, mwanasayansi nguli wa Urusi Elie Metchnikoff…

Hadanganyi. 

Kauli hii, inanikumbusha kisa cha ndege aina ya bundi kuhusishwa na uchawi katika jamii yetu ya ki-afrika. Kama umezaliwa na kukulia mjini unaweza usielewe hili, lakini wenzangu na mimi tuliokulia vijijini tunajua ilivyokuwa hofu kubwa kumuona bundi akilanda landa mitaa yenu 😂

Kwa asili, bundi ni ndege mwenye uwezo wa kuona zaidi usiku kuliko mchana. Kwa hiyo, tofauti na ndege wengine, yeye huruka zaidi usiku. Chakula chake ni nyama, hasa mizoga. Kwa sababu hiyo, amepewa uwezo mkubwa sana wa kunusa harufu ya uozo.

Pale kijiji fulani kunapokuwa na mgonjwa ambaye amekariba siku zake za mwisho… utumbo wake ndio uanza kufa japo sisi huwa hatuwezi kugundua hilo wala kusikia harufu. 

Na kwa kuwa bundi anao uwezo mkubwa sana wa kunusa, huja na kuzingira maeneo hayo. Na kwa kuwa huruka usiku, utaisikia sauti akiimba kama ilivyo kwa ndege wengine wafanyavyo wakati wa mchana.

Siku chache baadaye, mtu ufariki katika eneo hilo. Na kwa kuwa watu walisha-muona bundi au kusikia sauti yake, ikajengeka dhana kwamba bundi ni mchawi anayeuwa watu. Kwa hofu kwamba, kila akionekana maeneo ya jirani, msiba hutokea. 

Lakini ukweli ni kwamba, kuna mgonjwa ambaye utumbo wake ulishaanza kuharibika na kutoa harufu (hata kama hatuinusi)… ndio maana ya bundi kuonekana mazingira hayo. Alinusa harufu ya uozo na akaja kutafuta chakula. 

Kupitia kisa hiki cha bundi, mimi na wewe tunakubaliana na ugunduzi wa Elie Metchnikoff.

Baada ya ugunduzi huo, Elie anashauri kwamba…

Ikiwa kweli unataka kuishi maisha ambayo Muumba amekupa pasipo kuumwa, moja ya jambo la msingi unalopaswa kufanya, ni ku...

...hakikisha unasafisha mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula angalau 2x kwa mwaka!

Je, unafahamu kwamba ukiwa msafi ndani ya utumbo wako, mbali na kuwa na afya njema hata nje ya mwili unaonekana mwenye kunawiri? Hebu fikiria haya…

  • Tunaoga na kusafisha miili yetu kila siku.
  • Tunasafisha meno na kinywa kila kukicha.
  • Tunasafisha hata nywele na kuziwekea shampoo kila mara.
  • Baadhi yetu, tunaenda mbali zaidi na kusafisha miguu na kucha ili tuonekane wenye kupendeza na kuvutia.

Maswali ya msingi kujiuliza ni je, ni lini umesafisha mwili wako kwa ndani? Unafanya jitihada gani kuhakikisha mashine yako ya usagaji chakula inakuwa safi? Je, unazifahamu njia za asili na zisizo za asili kufanikisha hilo? Au unasubiri hadi pale unapoanza kuona dalili za magonjwa tena yale yasiyotibika ndio tunaanza kuhaha kutafuta tiba..!

Hizi hapa ni baadhi ya dalili za wazi zinazoashiria una uchafu mwingi mwilini

Kukosa usingizi na kuhisi mchovu kila mara.

Una uzito mkubwa na nyama uzembe

Unatokwa na jasho jingi kila mara.

Maumivu kifuani na mapigo ya moyo kwenda mbio

Una chunusi na ngozi isiyo na afya

Huna hisia na hata hulifurahii tendo la ndoa

Unatoa harufu mbaya ya mwili na kinywa

Unaumwa mara kwa mara

Kama una mojawapo ya dalili hizo hapo juu, basi ujue unahitaji kuchukua hatua haraka!

Huu ndio ukweli ambao madaktari wengi huwa hawausemi kwa uwazi…

Utumbo ulio na uchafu mwingi, ndicho chanzo kikuu cha takribani asilimia 78% ya magonjwa sugu.

Hapa tunamaanisha magonjwa ya…

Presha

Kisukari

Uzito kupita kiasi

Kansa

Macho

Nakadhalika

Ikiwa umesoma neno kwa neno tangu juu hadi hatua hii, pengine unaweza ukawa na swali ambalo hata mimi nilikuwa nikijiuliza mara kwa mara…

...ni nini chanzo cha kuharibika kwa mmeng'enyo wangu wa chakula?

Katika maisha yetu ya kila siku, tunajikuta katika mazingira ambayo yamejaa maelfu ya SUMU na kemikali HATARI ambazo uingia mwilini kupitia hewa tunayovuta, madawa tunayokunywa, vinywaji pamoja na vyakula mbali mbali tunavyokula.

Sumu hizi ni kemikali hatari, vikiambatana na aina ya vyakula ambavyo vyote kwa pamoja hupelekea magonjwa sugu niliyotangulia kuorodhesha, kutia ndani kukosa choo, kuongezeka uzito, miili kukosa nguvu, maumivu ya kichwa, mgongo, miguu, matatizo ya hedhi, pamoja na monjwa mengine kama hayo. 

Jambo la kushtua zaidi ni hili… Tafiti nyingi za kitiba zinakubaliana kwamba asilimia 80% ya vifo husababishwa na mlundikano wa uchafu katika utumbo mpana. Mlundikano huu, utoa mwanya kwa minyoo mibaya kuongezeka na kustawi tumboni ambayo hushambulia na kunyong’onyesha seli na vingo vingine na hatimaye kutokeza magonjwa yasiyokuwa na tiba.

Jarida la “National Geographic” pia lilipigilia msumari liliporipoti utafiti uliojumuisha kwamba…

Minyoo imeuwa watu wengi sana kuliko vita vyote vilivyopata kutokea duniani.

Hiyo ndio sababu kubwa iliyopelekea wataalamu wa lishe nchini Marekani kuunda...

...program salama yenye ufanisi wa kiwango cha juu, maalum kwa ajili ya kusafisha mwili.

Ni program maarufu baina watu wengi duniani inayojulikana kama C9. Imepata ithibati kutoka mamlaka mbali mbali za chakula dawa duniani kote ikiwa ni pamoja na taasisi mashuhuri za Kosher na Halal.

Hata hivyo ninazo habari NJEMA na habari MBAYA kuhusiana na hiyo program nchini Tanzania. 

Nianze na habari njema… program hii imethibitishwa na TBS kama program salama kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

Habari mbaya ni kwamba…

Iliangukia katika mikono ya wauzaji wenye TAMAA ya pesa na WASIOKUWA na utaalam wa LISHE...

Utawatambuaje?

  1. Wanaongea sana! Kiasi kwamba usiposikiliza kwa umakini, waweza usielewe nini wanachoongea.
  2. Wana-mbwembwe nyingi sana, majigambo, utadhani wao ndo kila kitu.
  3. Watakupigia simu kila mara kana kwamba wanakudai, na…
  4. Wakishakuuzia hutawaona wala kuwasikia tena 😂

ANGALIZO: Watu hawa wamejazana kwenye mitandao ya kijamaii kuitangaza hii bidha, na nina imani ushakutana nao mara kadhaa. Na pengine walishakuuzia, kisha wakakimbia.

Wanajua kwamba watanzania wanahangaika kupunguza uzito, wamedaka fursa. Kwao, pesa ndo kipaumbele.

Imekuwa ikitangazwa kama program ya kuthibiti na kupunguza uzito jambo ambalo si kweli hata kidogo.

Ndio, wapo waliosaidika lakini si kwa kiwango walichohaidiwa na wauzaji hawa.

Ukweli ni kwamba zile kilo zinazopungua, huwa ni kiwango cha uchafu anaokuwa-nao mtumiaji. Na wastani wa kiwango cha uchafu kinachoondoshwa mwilini, huwa ni hadi kilo 4. Kwa wale ambao wanafuata masharti ya program kwa zaidi ya asilimia 90%, wanaweza kuondosha kiwango cha uchafu wa hadi kilo 7 ndani ya siku 9 za program.

Ni kwa sababu hiyo, watu hudhani C9 inapunguza uzito… HAPANA. 

Huwezi kupunguza uzito wa mwili ndani ya siku 9. Kupunguza mwili na bado ubaki ukiwa na mwili unaovutia wengi, kunahitaji kujikana na kujitoa sana na kisha kuhasili mtindo mpya wa maisha. Vinginevyo, ni uhongo. Utapungua na kisha utaongezeka zaidi. 

Uzoefu tuliopata kutoka kwa mamia ya watu ambao wamesaidika kupitia C9, wengi wa watumiaji hao hupenda kuiita…

"Detox Express"

Program Inayokuwezesha Kusafisha Mmeng'enyo Wako Wa Chakula na Kuondoa Uchafu Wa Hadi Kilo 4 Ndani ya Siku 9

...vinginevyo, utarejeshewa PESA zako!

Imeundwa katika namna ambayo ikiwa utazingatia masharti yake ya matumizi, inaweza kukupatia matokeo ya kushangaza ndani ya siku 9 pekee… Hapata tunazungumzia kuondoa uchafu wa kati ya kilo 4 hadi 7. 

Na hili uweze kufikia lengo la kuwa na afya bora, inashauriwa itumiwe angalau mara 2 hadi 4 kwa mwaka.

Detox Express ndio programu ya kwanza iliyoundwa katika mfumo wa maisha wa wakati wetu inayoweza kuondosha uchafu mwilini kwa njia ya asili ukiwa nyumbani kwako. Hakuna mashine inayohusika na wala uhitaji kumuona daktari. Imeundwa kukupa KILA kitu mwili unachohitaji pamoja na mwongozo wa mazoezi unayopaswa kufanya ndani ya siku 9.

Ikiwa utahitaji kwenda zaidi na kupunguza uzito, utalazimika kufuata utaratibu mwingine ambao tutakupatia. UKITAKA!

Hivi ndivyo Sarah, aliyekuwa na uzito kupita kiasi na jinsi alivyoweza kusaidika kupitia DetoxE

Nilikuwa nikisumbuliwa na uzito uliopita kiasi na nilisi kuchanganyikiwa akili. Nilikuwa nimeshindwa kufikia malengo yangu ya kupunguza uzito na kuboresha afya yangu hadi nilipotumia Detox Express.

Kupitia Detox Express, ilikuwa kama nimezaliwa upya kwa maana nilipata njia mpya ya kuondoa uchafu na sumu katika mwili wangu na kufufua tumaini jipya. Kufuata mwongozo wao ulikuwa rahisi na salama, na nilivutiwa na jinsi mpango huu ulivyojumuisha lishe yenye afya na mazoezi.

Kwa muda wa siku 9, nilishuhudia mabadiliko makubwa. Uzito wangu ulianza kupungua, mwili ukawa mwepesi, na akili ikawa tulivu zaidi. Nimepata utulivu wa ndani na ujasiri wa kuchukua mwelekeo mpya wa maisha yangu.

Ninaishukuru timu ya Wola kwa kunipa fursa hii ya kipekee ya kubadilisha maisha yangu. Nimebadili mfumo wa maisha na naendelea kufurahia matokeo ya muda mrefu na ninahimiza kila mtu anayetamani afya bora na furaha kujiunga na mpango huu wa ajabu.
Sarah Njuguna
Afisa masoko

Hizi ndizo sababu zinazoifanya 'Detox Express' izidi kuwa maarufu!

Hakuna shaka kwamba ‘Detox Express‘ imekuwa maarufu sana katika ulimwengu wa afya na ustawi, na hapa kuna sababu kadhaa zinazoelezea kwa nini watu wengi wanavutiwa na programu hii ya detox:

Ina Mwongozo wa Utumiaji

Kupata matokeo bora na Express Detox, tumekupa mwongozo kamili wa utumiaji. Utapata maelekezo sahihi juu ya jinsi ya kuitumia vizuri na kufuata mpango wetu wa detox kwa ufanisi. Mwongozo wetu wa utumiaji utakusaidia kuelewa mchakato wote na kukuongoza hatua kwa hatua kuelekea mafanikio ya kusisimua.

Ni Salama kwa Afya yako

Tunaipa umuhimu mkubwa afya yako, na ndio maana Express Detox imeundwa kwa kuzingatia viwango vya juu vya usalama. Tumechagua viungo asili na safi ambavyo hutoa athari za detoxification bila kusababisha madhara kwa mwili wako. Unaweza kuwa na amani ya akili kuwa Express Detox ni chaguo salama na yenye ufanisi kwa afya yako.

Ni Rahisi Kuitumia

Tunaelewa jinsi maisha yetu yalivyo na shughuli nyingi, ndio maana tumeifanya Express Detox iwe rahisi kutumia. Pamoja na mwongozo wetu wa utumiaji ulio wazi na rahisi kufuata, unaweza kuitumia kwa urahisi katika mazingira yako mwenyewe. Hakuna hitaji la maandalizi magumu au muda mwingi wa kutekeleza. Express Detox inakupa njia rahisi na ya haraka ya kuboresha afya yako. 

Inasafisha Mwili ndani ya Siku 9

Express Detox imeundwa mahsusi kusafisha mwili wako kwa kina ndani ya siku 9 tu. Kwa kufuata mpango wetu wa detox, unaweza kuondoa sumu na uchafu uliokusanyika mwilini na kuufanya ujisikie mpya na mwenye nguvu. Ndani ya kipindi cha siku 9, Express Detox itakusaidia kuboresha mfumo wako wa kinga, kurejesha nishati na kuboresha afya yako kwa ujumla.

Inakujengea Msingi Mzuri

Kwa kuanza na Express Detox, unaweza kujenga msingi mzuri wa afya. Detoxification inasaidia kuondoa sumu na uchafu ambao unaweza kuwa unazuia afya yako. Kwa kusafisha mwili wako na Express Detox, unaweza kuanza upya na kuweka msingi imara wa afya bora. Hii itakusaidia kufikia malengo yako ya kudumisha afya na ustawi kwa muda mrefu.

Inakufanya Uwe na Mvuto

Kwa kusafisha mwili wako na Express Detox, utapata matokeo ya kipekee na ya kuvutia. Kujisikia mpya, kujiamini, na mwenye nguvu zaidi kunaweza kukuongezea mvuto. Unapokuwa na afya bora na mwili safi, utaweza kuvutia watu na kuwa na mwelekeo chanya katika maisha yako. Express Detox inakupa fursa ya kufurahia uzuri wa ndani na nje, na kukufanya uwe na mvuto wa kipekee.

Ningalikuwa wewe, sababu hizo pekee zingenitosha kufanya maamuzi sasa

Lakini, ikiwa bado unatafakari juu ya manufaa zaidi ya kutumia Detox Express… naelewa. Binafsi nilipopata elimu kama hii unayoipata kupitia ukurasa huu, nilitafakari sana kabla ya kuchukuwa hatua. Nilijiuliza baadhi ya maswali ambayo pia tumeyatolea majibu yake hapa chini. 

Mbali na kukusaidia kuondosha uchafu yabisi na miminika kutoka mwilini na kukujengea msingi wa ustawi wa afya bora, haya hapa ni baadhi ya madhira utakayoweza kuondokana nayo endapo utaamua leo hii kutumia Detox Express…

Hata hivyo, DetoxExpress SIYO ya kila mmoja

Haishauriwi kutumiwa na mtu ambaye tayari ana...

5/5

Ina ladha mbaya lakini yenye ufanisi 😂

Sikuifurahia kabisa katika siku ya kwanza, kwa hiyo sikula tembe za vidonge vya asubuhi na nilikula tu matunda yanayoshauriwa. Nilianza kuizoea gel na ladha yake ilichanganywa na unga ulio ndani ya pakiti katika siku ya 5, hapo awali nilikuwa sijawahi kunywa kitu kama kile. Sasa hivi ninajihisi mwenye afya na nguvu zaidi na ninafurahia zaidi kutokana na kupungua uzito.

Nilikuwa na uzito wa kilogramu 68 na baadaye kilogramu 63. Baba yangu alikuwa na uzito wa kilogramu 112 na baadaye kilogramu 103. Ni ya kushangaza lakini ni kweli! Baba yangu alifanaya zaidi mazoezi ya kutembea, mimi sikweza sana kwa sababu ya kubanwa na kazi za ofisi.

Mwezi October tunapanga kuagiza tena. 

Barbra Lugangira

CEO, ANYE Finance

Na jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa...

...tunakuletea ofa maalum ambayo haitakiwi kupuuzwa!

Tafadhali, ongeza muziki wa kusisimua hapa…💃🕺😂
Kwaheri, uchafu mwilini! Karibu, afya tele! 

Ofa hii ni maalum kwa wanachama wa Jukwaa la Wola ambao kutoka ndani ya nafsi zao wamedhamiria kufanya mabadiliko katika mtindo wa maisha na kuamua kukumbatia mfumo wa lishe yenye afya…

Leo, ninafurahi kukutangazia kwamba unaweza kuipata Detox Express kwa bei ya kusisimua kabisa ya TSh 300,000 tu badala ya 360,000!

Tsh 300,000

Ndio, umesikia vizuri, ni ofa isiyo ya kawaida kabisa! Hii ni nafasi yako ya kipekee ya kuwekeza katika afya yako na kuanza safari yako ya kufurahia maisha bora na yenye nguvu.

Mbali na kwamba thamani yake hailinganishwi, kwa bei hii ya kuvutia, utapata boksi kamili ya Detox Express pamoja na mongozo wa kina, vifaa vyote unavyohitaji, na msaada wa karibu kutoka kwa wataalam wetu ili kuhakikisha unapata matokeo bora.

Lakini nikupe TAHADHARI!

Hii ni ofa ya siku chache! Kwa hiyo, usisite, chukua hatua sasa na thibitisha nafasi yako kwa kununua Detox Express kwa TSh 360,000 pekee.

Wacha tukusaidie kukata minyororo iliyokuwa inakuzuia na uianze safari yako ya kushangaza kuelekea afya na ustawi. Detox Express inakusubiri – jiunge na wengine ambao tayari wamepata matokeo ya ajabu. Usikose fursa hii ya kipekee – jinyakulie Detox Express leo!

ANGALIZO! Tunazo peaces chache zilizosalia, kwa hiyo chukua hatua sasa na pata mabadiliko unayostahili katika maisha yako!

Hii hapa ni moja kati ya shuhuda nyingi za kusisimua kutoka kwa watu waliothubutu kujaribu Detox Express.

Ikiwa nawe ni sawa nami ambao hatuchukui maamuzi ya haraka hasa katika masuala yanayohitaji fedha, kupitia ushuhuda huu wa Fredrick pamoja na wengineo unadhihirisha pasina shaka juu ya kiwango cha ufanisi cha Detox Express…

Fredrick Chande

- Mwajiriwa

Jina langu ni Fredrick, muda wote nilihisi mwenye uchovu na sikuwa na nguvu za kufanya kazi. Nilijaribu njia mbalimbali za kuboresha afya yangu, lakini hakuna iliyofanya kazi hadi nilipokutana na mtu kutoka timu ya Wola akanielimisha na kuniashauri nitumie Detox Express.

Mwanzoni haikuniwia rahisi kufanya maamuzi ya kutoa shilingi 360k, lakini sikuwa na njia nyingine ya haraka. Hatimaye nilifanya maamuzi na nilianza safari yangu ya Detox Express kwa kufuata mwongozo wao wa utumiaji na kufanya marekebisho kadhaa katika lishe yangu.

Baada ya siku chache tu, nilianza kuhisi tofauti kubwa. Nguvu ziliongezeka maradufu, uchovu wa mwili ulitoweka, na nilikuwa na hisia nzuri za kufanya kazi.

Kimsingi, Detox Express imebadilisha maisha yangu kabisa. Sasa hivi ninajihisi vizuri, mwenye nguvu, na nina hamasa kubwa ya kufanya kazi na ninayafurahia maisha.

Nimepata furaha ya kweli kupitia safari yangu ya detox na nimejiahidi kuwa mwaminifu wa mabadiliko ya mtindo wa maisha yangu. Sitamani tena kurudi hali ile niliyokuwa nayo. 

Angalia jinsi ambavyo 'Express Detox' imeweza kuwasaidia kuondosha uchafu mwilini

Pamoja na mpango huu, unaweza kufikia afya bora, kupunguza uzito, kuwa na nguvu tele, na kuwa na amani ya akili. Jiunge na sisi leo na uwe sehemu ya mafanikio haya makubwa!

Inashangaza!!

5/5

Ni bidhaa ya kushangaza. Ikiwa hauko tayari kujitoa, haitafanya kazi. Nimemaliza siku ya 6 na ninajisikia vizuri sana. Sikuinunua hii ili nipunguze uzito (ingawa nimepunguza kilo 3), niliinunua ili kuondoa vitu visivyo na maana mwilini kabla ya kuanza lishe na kujaribu kupunguza uzito! Gel ya aloe vera ina ladha mbaya lakini unakunywa aloe safi kabisa. Lakini mara tu unapofikia siku ya 3 utakuwa sawa kwa sababu utahitaji kunywa kinywaji hicho asubuhi pekee. Kwa ujumla, hii ni bidhaa nzuri kukusaidia kujiandaa kwa mtindo wa maisha wenye afya zaidi.

Nanguma

DetoxE ni NZURI!

5/5

Rafiki yangu anayeishi Uswisi alinishauria nitumie DetoxExpess kusafisha mwili. Sikuwahi kufanya hivyo hapo awali lakini nilitaka kuachana na baadhi ya tabia mbaya za kula na kupunguza angalu kilo 2-3. Sasa niko siku ya 7 na ninajisikia vizuri sana! Maelekezo ni rahisi kufuata na kila kitu kinapatikana kwenye pakiti (isipokuwa chakula). Siku za kwanza mbili zilikuwa ngumu kwangu na kinywaji cha aloe vera kina ladha mbaya lakini mara tu unapozoea na mwili wako unakizoea, inabidi kujituma. Nilikuwa na wasiwasi juu ya kutokunywa kahawa lakini niliibadilisha na mchai chai na hiyo imenisaidia kuepuka maumivu ya kichwa. Ninajifurahia na nina hamasa kutokana na matokeo niliyoyaona hadi sasa. Ikiwa unafikiria juu ya bidhaa hii, ningependekeza sana na kukuhimiza kuijaribu!

Emmanuel

Nimeondosha 4kg. Inafanya kazi!

5/5

Ladha ni sawa. Haikunisumbua.
Niliitumia mwaka 1 uliopita na kupoteza kilo 4.5 katika wiki hiyo na kilo 4 zaidi katika mwezi uliofuata. 
Kabla ya kuitumia nilikuwa na tatizo la aleji, sikupata tiba sahihi ya kukabiliana nalo. Baada ya kutumia DetoxE, aleji haikutokea tena. Pia, nilikuwa na matatizo ya hedhi. Nilikuwa napata mara 2-3 kwa mwezi. Nilitumia dawa na hazikunisaidia. Baada ya kutumia Detox Express, mzunguko wangu wa hedhi ulikaa sawa.

Christina L

Tunathamini sana kuridhika kwa wateja wetu na tuna imani kubwa katika ufanisi wa Detox Express, ndio maana...

...tunatoa Guarantee ya siku 30 ya kurudishiwa pesa zako ikiwa utaitumia na usipate matokeo!

Ikiwa hautaridhika na Detox Express kwa sababu yoyote ile, tunakupa uhuru wa kuwasiliana nasi ndani ya siku 30 na tutakurudishia pesa yako bila maswali mengi. Hakuna hatari kwako. Tunataka uweze kujaribu Detox Express kwa amani na uhakika.

Tunajua kuwa watu wengi wamejaribu bidhaa mbalimbali bila matokeo yanayotarajiwa. Na ndio maana tumejitolea kutoa hakikisho letu la pesa kwa siku 30. Tuko hapa kukupa fursa ya kufanya uamuzi wako bila wasiwasi wowote.

Kwa hakikisho hili, tunakualika kujiunga na kundi la watu waliojifunza faida za Detox Express na kuona mabadiliko makubwa katika maisha yao. Jaribu Detox Express kwa siku 9, ujionee mwenyewe matokeo yake, na ikiwa hautaridhika, tutakurudishia pesa yako bila hiyana.

Usikubali Maswali Haya Yawe Kikwazo Cha Kutokuzifikia Ndoto Zako!

Tunaelewa kuwa unaweza kuwa na maswali na wasiwasi kuhusu bidhaa yetu na jinsi inavyofanya kazi. Tumekusanya maswali haya kutokana na uzoefu wetu na maoni ya wateja wetu, ili kukupa taarifa muhimu na ya kuaminika. Tunaelewa kuwa na taarifa sahihi ni muhimu wakati wa kufanya maamuzi ya kuboresha afya yako na kuchagua bidhaa inayofaa kwako.

Tafadhali angalia maswali na majibu yetu hapa chini. Ikiwa bado una maswali au wasiwasi wowote baada ya kusoma FAQ hii, tafadhali jisikie huru kuwasiliana nasi kupitia njia zilizotolewa kwenye tovuti yetu. Timu yetu ya huduma kwa wateja iko tayari kusaidia na kutoa ufafanuzi wowote unaohitajika.

Detox Express ni program iliyoundwa kusaidia kuondoa uchafu na sumu mwilini. Inatumia mchanganyiko wa lishe ya asili pamoja na mazoezi ili kusaidia kurejesha usawa wa mwili na kuboresha afya kwa ujumla.

Matokeo yanaweza kutofautiana kwa kila mtu kutegemea hali ya kiafya, mtindo wa maisha, na jinsi mwili unavyojibu kwa Detox Express. Baadhi ya watu wanaweza kuanza kuona matokeo ndani ya siku chache, wakati wengine wanaweza kuhitaji muda mrefu. Ni muhimu kufuata mwongozo wa matumizi na kuwa na subira.

Detox Express ni bidhaa asili na salama, lakini kama na virutubisho vingine vyovyote, inaweza kusababisha athari ndogo kwa watu wachache. Athari hizo zinaweza kujumuisha mabadiliko ya utumbo, kichefuchefu, au mabadiliko ya nishati. Ni muhimu kuzingatia mwongozo wa matumizi na kuwasiliana na mtaalamu wa afya ikiwa una wasiwasi wowote.

Detox Express imeundwa kwa ajili ya watu wanaotaka kuongeza usafi wa mwili na kuboresha afya yao. Hata hivyo, si kila mtu anashauriwa kuitumia. Hawa wafuatao hawashauriwi kuitumia;

  1. Mama mjamzito,
  2. Mama anayenyonyesha,
  3. Mwenye tatizo la kisukari,
  4. Mwenye tatiza la ugonjwa wa moyo,
  5. Mwenye matatizo ya figo,
  6. Mwenye matatizo ya akili,
  7. Anayeanguka kifafa.

Lakini pia, ni vyema kushauriana na mtaalamu wa afya kabla ya kuanza matumizi ya Detox Express ili kuhakikisha kuwa ni salama na inafaa kwa mahitaji yako maalum.

Ndiyo! Detox Express inakuwa sehemu ya mpango wa kuboresha afya kwa ujumla, ambao unajumuisha mabadiliko ya lishe na mtindo wa maisha. Kufuata lishe yenye afya na kuwa na mtindo wa maisha unaojumuisha mazoezi utaweza kuongeza faida za Detox Express. Ikiwa upo kwenye dozi ya fulani ya kitiba, unaweza kushauriana na mtaalamu wako wa afya kuhusu mabadiliko yoyote ya lishe au mfumo wa maisha kabla ya kuanza.

Ndiyo, Detox Express imeundwa kwa njia ambayo inafaa kwa watu wenye lishe tofauti au vikwazo vya chakula. Hata hivyo, tunapendekeza kushauriana na mtaalamu wa lishe au daktari wako kabla ya kuanza programu ya Detox Express ili kuhakikisha inafaa mahitaji yako maalum.

Detox Express imeundwa na mchanganyiko wa viungo vya asili vyenye uwezo wa kusaidia mwili wako kuondoa uchafu na sumu kwa njia ya asili. Tofauti na programu zingine za detox zinazotumia kemikali au njia kali, Detox Express inazingatia mabadiliko ya lishe na njia za asili za kusaidia mwili wako kurejesha usawa na kuongeza afya yako kwa muda mfupi.

Tunapendekeza kushauriana na daktari wako kabla ya kuanza programu ya Detox Express ikiwa unatumia dawa za kila siku au una matatizo ya kiafya. Daktari wako anaweza kutoa mwongozo sahihi kulingana na hali yako ya kiafya na dawa unazotumia.

Ndiyo, mazoezi ya wastani yanaweza kuendelea wakati wa kufuata Detox Express. Hata hivyo, ni muhimu kusikiliza mwili wako na kuwa na ufahamu wa kiwango cha nishati uliyonayo wakati wa programu ya detox. Kama ilivyo kwa mazoezi yoyote, ni muhimu kuanza taratibu na kuongeza mazoezi kulingana na uwezo na faraja yako.

Detox Express inategemea viungo vyenye asili na salama. Kwa ujumla, haipaswi kuwa na athari mbaya au madhara makubwa. Walakini, kila mtu anaweza kujibu tofauti, na inawezekana kuhisi athari ndogo kama vile mabadiliko ya mlo au tabia ya tumbo. Ikiwa una wasiwasi wowote au una athari isiyofaa wakati wa kufuata Detox Express, tunapendekeza kuacha matumizi na kushauriana na daktari wako.

Jiunge sasa na uanze safari ya kuboresha afya yako na kuwa bora zaidi.

Hakuna kitu cha kupoteza zaidi ya kunufaika. Tuko hapa kukupa uhakika na imani kuhusu Detox Express. Detox Express inasubiri kukuwezesha kufikia afya bora na ustawi wa kipekee.

Wapi unapenda nikutumie mwaliko wa kujiunga na Jukwaa la Wola?

Hebu nifahamishe kupitia fomu hii 
NITUMIE MWALIKO
close-link

Kwa TZS 300,000 tu unaipokea 'Detox Express' ikiwa mlangoni kwako. Tuambie wapi tukuletee 👇👇

[affiliate_login]
[affiliate_registration]